UKWELI KUUSU PROF. SOSPETER MUHONGO

MCHAMBUZI wa masuala ya siasa amemshauri aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini mpaka katikati ya wiki iliyopita, Profesa Sospeter Muhongo kuacha siasa na kurudi chuoni kufundisha elimu ya giologia baada ya kupata ‘ajali’ mbili za kisiasa ndani ya miaka miwili
Profesa Muhongo alifukuzwa kazi na Rais John Magufuli Jumatano, ikiwa ni miezi 28 kamili tangu ajiuzulu nafasi hiyo Januari 24, 2015 chini ya Rais wa nne, Jakaya Kikwete.Muhongo alifukuzwa kazi baada ya kugundulika kwa madudu katika mchakato wa usafirishaji wa mchanga wa madini (makinikia), kulikofanywa na kamati maalumu iliyoundwa na Rais Magufuli Machi 29.

Comments