Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times

Waziri wa Habari Dkt Harrison Mwakyembe punde atazungumza na vyombo vya habari TBC kuhusu suala la mkataba wa TBC na Kampuni ya kuuza Ving'amuzi ya Star Times.

Screenshot from 2017-07-14 13-46-51.png ​

Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times hasa kuzalisha hasara kila mwaka.

Waziri Mwakyembe: Nimekutana leo na Mwenyekiti wa Star Times Bwana Pang kujadili mkataba huu ili kufanya uamuzi mwezi huu huu

Waziri Mwakyembe: Nimeunda Timu ya Wataalamu kufanyakazi kwa siku saba kutupa mrejesho ili kuamua kama tunaboresha ubia huu ama la.

Mwenyekiti Star Times amemshukuru Rais Magufuli kwa nia ya kutaka mkataba uwe wa mafanikio zaidi.Yeye yuko tayari kurekebisha kasoro zozote.

Comments